Uhuru kwa Waliofungwa ni kitendea kazi cha kipekee kinacholeta uponyaji na Uhuru. Kinatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia nguvu za Mslalaba ili kuingia katika, "uhuru wa utukufu wa Watoto wa Mungu" (Rum. 8:21).
Maombi na maamuzi kwenye kurasa hizi yamefanyiwa majaribio katika mabara sita. Maombi haya yamekuwa ya manufaa makubwa kuwaweka watu huru, kuvunja laana za jamii na kuwaweka watu huru wawe wakakamavu na wainjilisti shupavu wa nguvu za wokovu za Kristo.
Willkommen bei den Tales Buchfreunden und -freundinnen
Jetzt zum Newsletter anmelden und tolle Angebote und Anregungen für Ihre nächste Lektüre erhalten.
Mit Ihrer Newsletter-Anmeldung erklären Sie sich mit unseren Datenschutzbestimmungen einverstanden.Sie können sich jederzeit wieder abmelden.