Große Auswahl an günstigen Büchern
Schnelle Lieferung per Post und DHL

Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzaniavon Gerephace Mwangosi Sie sparen 18% des UVP sparen 18%
Über Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

Kitabu hiki kinachohusu ¿Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzaniä kimechunguza historia ya uhusiano uliopo baina ya fasihi na jamii inayopigwa na wimbi la muktadha wa ulimwengu wa leo kupitia nyimo za Magosi za Wanyakyusa. Kitabu kinabainisha namna nyimbo teule zinavyosawiri hali halisi iliyopo nchini Tanzania kwa kurejelea muktadha mpana wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Kitabu hiki si tu kinahusu usawiri wa nyimbo za Magosi katika maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili, bali pia ni chimbuko na historia, utamaduni, sheria na uhakimu, utawala, makazi na falsafa ya jamii ya Wanyakyusa. Historia ya maendeleo ya ushairi simulizi imeelezwa kwa undani ili kujenga mwega wa mjadala wa taarifa katika karne iliyopo sasa. Mwanazuoni anayetaka kuzama na kuchambua masuala muhimu yaliyomo katika kitabu hiki atakuwa amezima kiu yake baada ya kuchota kutoka kisima hiki chenye maji mengi na yaliyo salama. Kitabu hiki, kwa maana yake, kinahusishwa na Ujumi wa Mtu Mweusi kwa kuwa kinachochea mijadala ya masuala mengi yanayohusu historia, utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika kwa wasomaji na watafiti wa sanaa za kijamii.

Mehr anzeigen
  • Sprache:
  • Afrikaans
  • ISBN:
  • 9786139420209
  • Einband:
  • Taschenbuch
  • Seitenzahl:
  • 172
  • Veröffentlicht:
  • 18. Dezember 2019
  • Abmessungen:
  • 150x11x220 mm.
  • Gewicht:
  • 274 g.
  Versandkostenfrei
  Versandfertig in 1-2 Wochen.

Beschreibung von Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

Kitabu hiki kinachohusu ¿Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzaniä kimechunguza historia ya uhusiano uliopo baina ya fasihi na jamii inayopigwa na wimbi la muktadha wa ulimwengu wa leo kupitia nyimo za Magosi za Wanyakyusa. Kitabu kinabainisha namna nyimbo teule zinavyosawiri hali halisi iliyopo nchini Tanzania kwa kurejelea muktadha mpana wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Kitabu hiki si tu kinahusu usawiri wa nyimbo za Magosi katika maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili, bali pia ni chimbuko na historia, utamaduni, sheria na uhakimu, utawala, makazi na falsafa ya jamii ya Wanyakyusa. Historia ya maendeleo ya ushairi simulizi imeelezwa kwa undani ili kujenga mwega wa mjadala wa taarifa katika karne iliyopo sasa. Mwanazuoni anayetaka kuzama na kuchambua masuala muhimu yaliyomo katika kitabu hiki atakuwa amezima kiu yake baada ya kuchota kutoka kisima hiki chenye maji mengi na yaliyo salama. Kitabu hiki, kwa maana yake, kinahusishwa na Ujumi wa Mtu Mweusi kwa kuwa kinachochea mijadala ya masuala mengi yanayohusu historia, utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika kwa wasomaji na watafiti wa sanaa za kijamii.

Kund*innenbewertungen von Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

Ähnliche Bücher finden
Das Buch Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania ist in den folgenden Kategorien erhältlich:

Willkommen bei den Tales Buchfreunden und -freundinnen

Jetzt zum Newsletter anmelden und tolle Angebote und Anregungen für Ihre nächste Lektüre erhalten.